Upepo

Upepo, Episode 12

Msimu 1, Kipindi Cha 12

Ugomvi wa wanandoa wa kiza na Natasha unapamba moto, Sara nae mawazo na hofu kwa Fiona zinamtawala.
13HD

Tazama Msimu Wote wa Upepo Msimu 1

Episode 1
M1 K1 • 24D • HD13

Miaka iliyopita tunaona ukatili wa makanza kwa dada yake Debora, Fiona binti ya kitajiri anapotea kutokana na uzembe wa Dereva wa familia.

Episode 2
M1 K2 • 25D • HD13

Kiza akimtafuta Maembe,Familia ya Makanza taaruki juu ya upotevu wa Fiona na gari.

Episode 3
M1 K3 • 26D • HD13

Gari la Makanza linaibiwa ,mabinti waliotekwa wafikishwa porini, Sudi anakuta ugeni nyumbani kwake.

Episode 4
M1 K4 • 25D • HD13

Mabinti waliotekwa wanagoma kula, Sudi anaonyeshwa mke na wazazi wake kijijini, Maembe uso kwa uso na Fido.

Episode 5
M1 K5 • 24D • HD13

Makanza na Sara wanaendelea kumtafuta Fiona, Sara anapoteza fahamu anapoona ugumu wa Fiona kupatikana.

Episode 6
M1 K6 • 24D • HD13

Sara amelazwa hospital, Opa anafanya upekuzi wa binti mmoja mateka na hofu kutanda kati yao.

Episode 7
M1 K7 • 25D • HD13

Fiona na wenzie wanajaribu kutoroka na kukamatwa, Natasha anamfukuza Nguzo kazi.

Episode 8
M1 K8 • 24D • HD13

Sudi na Bupe chuki yao inapamba moto, Kiza anapewa taarifa za uhakika kuwa Fiona ametekwa.

Episode 9
M1 K9 • 24D • HD13

Sudi anaonyeshwa gari yake iliyopotea, Dj Babuu anakimbilia mafichoni ambako anakutana na changamoto nyingine.

Episode 10
M1 K10 • 25D • HD13

Maembe anatoroka toka mafichoni, Natasha aitangazia jamii juu ya upotevu wa Fiona ,Mama sabena anawalaumu wafanyakazi wake kwa uzembe.

Episode 11
M1 K11 • 24D • HD13

Utafutaji wa Fiona unaendelea, gari iliyopotea inapatikana na wahusika kwenye wizi wakamatwa.

Episode 12
M1 K12 • 24D • HD13

Ugomvi wa wanandoa wa kiza na Natasha unapamba moto, Sara nae mawazo na hofu kwa Fiona zinamtawala.

Episode 13
M1 K13 • 24D • HD13

Sudi anasimamia msimamo wake kuhusu mke aliyeletewa na wazazi wake, Opa anatumikia adhabu kali.

Episode 14
M1 K14 • 25D • HD13

Makanza na Sara wanafanya mahojiano na waandishi wa kuhusu kupotea kwa binti yao,Fiona.

Onyesha Zaidi
  • Gari la Makanza linaibiwa ,mabinti waliotekwa wafikishwa porini, Sudi anakuta ugeni nyumbani kwake.
  • 13HD
  • WaigizajiIrene Uwoya, Steven Almasi, Modo Emmanuel
  • AinaDrama
  • Misimu1
  • StudioMaisha Magic Bongo

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.