⁠Chagua Kifurushi Sahihi cha Showmax Kwa Ajili Yako

Linganisha vifurushi na uanze kutazama burudani unayoipenda leo!

*Maudhui yanayotolewa yanaweza kutofautiana kulingana na nchi. Ada kamili ya usajili inategemea mpango wa usajili uliochagua (Vifaa vyote/Vifaa vya Mkononi). Huduma ya Premier League/PL inapatikana kwenye Vifaa vya Mkononi pekee. Ubora wa utazamaji huenda ukategemea kifaa unachotumia. Vigezo na Masharti yanatumika.

Umeshajiunga na Showmax?
Tumia vocha yako hapa

Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.

Showmax ni huduma ya kutazama video popote ulipo bila matangazo inayokuletea tamthilia mbalimbali, vipindi vya hali halisi, Vipindi Halisi vya Showmax (Showmax Originals), vipindi vya watoto, mechi za Premier League na PSL. Kwa bei moja nafuu ya kila mwezi, utaweza kupata bila kikomo maudhui mapya yanayoongezwa kila wiki na uhuru wa kutazama wakati wowote. Vilevile, hakuna mikataba, hivyo unaweza kusitisha huduma wakati wowote unaotaka.