Tazama mubashara mechi za Premier League

Tazama mubashara mechi zote 380 kwenye kifaa cha mkononi, pia tazama dondoo, mahojiano, vipindi vya majarida na mengineyo. Ni huduma ya kipekee.

KUANZIA
TSh11,000

Timu zote unazopenda

Arsenal
Kaizer Chiefs
Liverpool
Manchester City
Manchester United
Tottenham Hotspur

Baada ya dakika 90: mbinu, uchambuzi na mengineyo

Pata uhondo wa mechi zaidi kwa kutazama dondoo, mahojiano, makala, yanayojiri nje ya uwanja na mengineyo.

Chagua mpango wako

  • Vifurushi vya Ofa

    Entertainment + Premier League

    • Tazama tamthilia, filamu na mengineyo.

    • Tazama mechi zote za Premier League na PSL.*

    • Tazama katika ubora wa Full HD au pakua.*

  • Kwa mashabiki wa mpira wa soka

    Premier League

    • Tazama mechi zote za Premier League na PSL*

    • Dondoo na maudhui ya kufikiwa na kila mtu.

    • Tazama katika ubora wa FHD au chagua ubora unaotaka.*

*Content offering may vary by country. Premier League/PL available only on mobile. Streaming quality might depend on the device used. Terms and Conditions apply.

Kitakachokufanya upende huduma ya Showmax Premier League

Kwa mashabiki
Tazama dondoo, mahojiano na mengineyo.
Kwa udhibiti wa data
Namna ya kupangilia data.
Kwa mechi za Premier League
Tazama mubashara mechi zote 380 za PL.

Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.

Showmax Premier League Mobile inatoa huduma ya kutazama mubashara kila mechi ya Premier League, dondoo za mechi, maandalizi, uchambuzi na mengineyo. Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi pekee.
  • Showmax Premier League Mobile ni huduma ya vifaa vya mkononi pekee inayokupa uwezo wa kutazama kila mechi ya Premier League mubashara. Pia, unaweza kutazama vipindi mbalimbali vya Premier League kama vile makala, dondoo, uchambuzi kabla ya mechi, mahojiano na mengineyo.
  • Hutaweza kutazama filamu, tamthilia, vipindi vya watoto au vipindi vya jumla kwenye mpango huu.
  • Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi tu
Tumeuzindua kwa kulenga Premier League ili kuwezesha hadhira yetu itazame ligi maarufu zaidi ya soka kwa bei nafuu. Mpango huu ni sehemu ya ahadi yetu ya kufanya ligi maarufu iweze kutazamwa na mamilioni ya watumiaji wa simu kote barani Afrika.
Mpango wa Showmax PL unapatikana kwenye vifaa vya mkononi (simu na tableti) vinavyotumika
  • iOS: Toleo la 14 au la juu
  • Android: Toleo la 7.0 au la juu
  • Kifaa cha Huawei chenye HMS / App Gallery
Haiwezi kutumwa na kuonyeshwa kwenye televisheni na hivyo haifai kwa mikusanyiko ya watu (kwa familia tuna Showmax Entertainment ambao haujumuishi michezo inayotiririshwa moja kwa moja).
  • Showmax Premier League Mobile imebuniwa kwa ajili ya mashabiki wa soka, ikiwa na vipindi vya kipekee vya Premier League mbali na mechi mubashara. Ikiwa ungependa kupata orodha kamili ya vipindi vyetu, tunapendekeza ujisajili Showmax Entertainment, ambapo kuna tamthilia nyingi mbalimbali, filamu, vipindi vya watoto na mengineyo.
  • Ikiwa ungependa kutazama filamu, tamthilia na vipindi vingine, utahitaji pia kujiunga na Showmax Entertainment au Showmax Entertainment Mobile.
Showmax ina njia kadhaa za kulipa kulingana na mapendeleo yako. Kwa sasa, unaweza kulipia ukitumia kadi za Visa na MasterCard. Njia nyingine za kulipa zitaongezwa baadaye na utafahamishwa zitakapoongezwa.
Showmax Premier League Mobile ni mpango wa vifaa vya mkononi pekee, kumaanisha kuwa unatumika kutazama kwenye kifaa kimoja cha mkononi na hautumiki kutazama kwenye vifaa vingi kwa wakati mmoja.
  • Nenda kwenye App Store, Google Play au Huawei App Store kwenye kifaa chako.
  • Tafuta Showmax.
  • weka app ya Showmax inayoonekana kwenye matokeo ya utafutaji.
  • Ingia ukitumia akaunti yako ya Showmax ili ufurahie utazamaji na upakuaji rahisi wa vipindi.
  • (Utatakiwa uwe umefungua akaunti yako kwenye tovuti ya showmax.com kabla ya kuingia katika programu. Iwapo umesahau jina lako la mtumiaji, unaweza kulipata katika sehemu ya Akaunti Yangu kwenye showmax.com.)