Watch Upepo Online | Showmax

Upepo

Drama1 MsimuMaisha Magic Bongo
Gari la Makanza linaibiwa ,mabinti waliotekwa wafikishwa porini, Sudi anakuta ugeni nyumbani kwake.
WaigizajiIrene Uwoya, Steven Almasi, Modo Emmanuel
13HD

Tazama Msimu Wote wa Upepo

Episode 1
M1ย K1ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Miaka iliyopita tunaona ukatili wa makanza kwa dada yake Debora, Fiona binti ya kitajiri anapotea kutokana na uzembe wa Dereva wa familia.

Episode 2
M1ย K2ย โ€ขย 25Dย โ€ขย HD13

Kiza akimtafuta Maembe,Familia ya Makanza taaruki juu ya upotevu wa Fiona na gari.

Episode 3
M1ย K3ย โ€ขย 26Dย โ€ขย HD13

Gari la Makanza linaibiwa ,mabinti waliotekwa wafikishwa porini, Sudi anakuta ugeni nyumbani kwake.

Episode 4
M1ย K4ย โ€ขย 25Dย โ€ขย HD13

Mabinti waliotekwa wanagoma kula, Sudi anaonyeshwa mke na wazazi wake kijijini, Maembe uso kwa uso na Fido.

Episode 5
M1ย K5ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Makanza na Sara wanaendelea kumtafuta Fiona, Sara anapoteza fahamu anapoona ugumu wa Fiona kupatikana.

Episode 6
M1ย K6ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Sara amelazwa hospital, Opa anafanya upekuzi wa binti mmoja mateka na hofu kutanda kati yao.

Episode 7
M1ย K7ย โ€ขย 25Dย โ€ขย HD13

Fiona na wenzie wanajaribu kutoroka na kukamatwa, Natasha anamfukuza Nguzo kazi.

Episode 8
M1ย K8ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Sudi na Bupe chuki yao inapamba moto, Kiza anapewa taarifa za uhakika kuwa Fiona ametekwa.

Episode 9
M1ย K9ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Sudi anaonyeshwa gari yake iliyopotea, Dj Babuu anakimbilia mafichoni ambako anakutana na changamoto nyingine.

Episode 10
M1ย K10ย โ€ขย 25Dย โ€ขย HD13

Maembe anatoroka toka mafichoni, Natasha aitangazia jamii juu ya upotevu wa Fiona ,Mama sabena anawalaumu wafanyakazi wake kwa uzembe.

Episode 11
M1ย K11ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Utafutaji wa Fiona unaendelea, gari iliyopotea inapatikana na wahusika kwenye wizi wakamatwa.

Episode 12
M1ย K12ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Ugomvi wa wanandoa wa kiza na Natasha unapamba moto, Sara nae mawazo na hofu kwa Fiona zinamtawala.

Episode 13
M1ย K13ย โ€ขย 24Dย โ€ขย HD13

Sudi anasimamia msimamo wake kuhusu mke aliyeletewa na wazazi wake, Opa anatumikia adhabu kali.

Episode 14
M1ย K14ย โ€ขย 25Dย โ€ขย HD13

Makanza na Sara wanafanya mahojiano na waandishi wa kuhusu kupotea kwa binti yao,Fiona.

Onyesha Zaidi
  • Kuhusu Tamthilia
  • Gari la Makanza linaibiwa ,mabinti waliotekwa wafikishwa porini, Sudi anakuta ugeni nyumbani kwake.
  • 13HD
  • WaigizajiIrene Uwoya, Steven Almasi, Modo Emmanuel
  • AinaDrama
  • Misimu1
  • StudioMaisha Magic Bongo

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

Maswali na Majibu

Pakua App ya Showmax kisha Stream Vipindi Vyote vyaUpepo. Jua jinsi ya Kutizima kupitia vifaa tofauti.
Unaweza kutizamaUpepo ndani ya Showmax. Jisajili na Showmax kuona vipindi vyote.
Kuna misimu 1 ya Upepo tayari kwa ku-stream.