Jivu

Jivu, Episode 54

Msimu 1, Kipindi Cha 54

Karen na Balui watoka nje,Ajuae ampiga marufuku Kawia kwenda nyumbani kwa Mzee Habibu.

Tazama Msimu Wote wa Jivu Msimu 1

Episode 1
M1 K1 • 26D • HD16

Mzee Habibu's family prepares to welcome their son, who has been away for his studies. Zingizi prophesies the danger. Munir plans to introduce his girlfriend to his parents. 

Episode 2
M1 K2 • 27D • HD16

Barke brings a girlfriend for Munir. Fahadi coercions Sikujua. Munir attends a party in his honour. Bilo and Kombo break Queen Barke's photo. 

Episode 3
M1 K3 • 27D • HD16

Munir introduces his new girlfriend to his parents. Kawia decides to burn down Mzee Habibu's castle. Sikujua is shocked. 

Episode 4
M1 K4 • 27D • HD16

The fire has burnt down Mzee Habibu's castle. Sikujua fights Kawia. Mpungwe wishes to work at the mines. Barke insists on knowing their enemy.

Episode 5
M1 K5 • 28D • HD16

Karen regrets being introduced at Munir's home. Munir's parents continue to reject Karen, so Karen decides to leave.

Episode 6
M1 K6 • 26D • HD16

Barke promises not to give Munir his certificates. Mine workers have started to demand their rights. Mchuma fights Gumbo.

Episode 7
M1 K7 • 26D • HD16

Mudrick is sick and taken to Ajuae. Karen regrets her presence at Mzee Habibu's castle. Bilo vows to fulfil his little brother's dream.

Episode 8
M1 K8 • 26D • HD16

Karen meets Balui for the first time. The police continue to alert Mzee Habibu's family. Mzee Habibu and Barke are depressed by their children's behaviours. Mpungwe gets a job.

Episode 9
M1 K9 • 27D • HD16

Balui demands the truth from Ajuae. Fahadi fights Mchuma. Mpungwe takes over Mchuma's position at Timboni.

Episode 10
M1 K10 • 26D • HD16

Mzee Habibu visits Ajuae's place. Sikujua is unhappy about Mchuma's termination. Bilo fights his father.

Episode 11
M1 K11 • 26D • HD16

Babu Ali doubts Ajuae. Sikujua fights for Mchuma's job. Razia continues to struggle with her love for Kawia.

Episode 12
M1 K12 • 26D • HD16

Kizele overhears a talk between Ajuae and Mzee Habibu. Sikujua has discovered the secret between Kawia and Razia. Kizele sees Barke standing.

Episode 13
M1 K13 • 27D • HD16

Chema decides to destroy her son's drawings. Sikujua is still affected by Fahadi's cruelty. Karen decides to obey the rules at Mzee Habibu's castle.

Episode 14
M1 K14 • 26D • HD16

Amanzi keeps torturing Chema. Karen sees Zingizi outside the house at midnight. Mtupe snitches on his co-workers to Gumbo.

Episode 15
M1 K15 • 26D • HD16

There's a protest at Timboni. Mchuma's father wishes Mchuma could marry Sikujua, while Karen wishes to strike up a friendship with Balui.

Episode 16
M1 K16 • 27D • HD16

The police are called in to deal with the Timboni strike. Karen catches Munir and Sada red-handed. Fahadi's issue is still consuming Sikujua. 

Episode 17
M1 K17 • 27D • HD16

Ajuae finds Mpungwe's picture in Balui's room. Mpungwe fights Kawia. Balui is confused after not finding Mpungwe's picture.

Episode 18
M1 K18 • 26D • HD16

Kombo now works at Mzee Habibu's castle. Ajuae is unhappy about the secret between Mpungwe and Balui. Kombo steals Mzee Habibu's pistol.

Episode 19
M1 K19 • 26D • HD16

Kabendele proves his feelings for Chema. The mine workers' strike reaches Mzee Habibu's castle. Mzee Habibu realises that the pistol is missing. 

Episode 20
M1 K20 • 26D • HD16

There's a workers' strike at Timboni. Munir asks to solve Timboni's problems. Mzee Habibu's pistol goes missing.

Episode 21
M1 K21 • 27D • HD16

Bastola ya mzee habibu ya leta matatizo nyumbani kwa Habibu,Maelewano yazidi kupotea kati ya kawia na Lazia.

Episode 22
M1 K22 • 26D • HD16

Ajuae gets upset about Mpungwe participating in the strike. What will happen next?

Episode 23
M1 K23 • 27D • HD16

Kombo helps the Timboni workers. Munir is surprised by Timboni workers' salaries. What happens next?

Episode 24
M1 K24 • 26D • HD16

Babu Ali Ashangazwa Mpungwe kuhusika kwenye mgomo,Munir aongeza mshahara wa wafanyakazi Temboni.

Episode 25
M1 K25 • 28D • HD16

Barke and Zingizi plan to avenge the strike. Amanzi witnesses a crime involving Zingizi and his friend.

Episode 26
M1 K26 • 26D • HD16

Amanzi suddenly disappears. Mchuma loses a loved one in a fire accident. Zingizi reports Amanzi's murder.

Episode 27
M1 K27 • 26D • HD16

Concerns arise over Amanzi's whereabouts. Munir offers his condolences to Mchuma.

Episode 28
M1 K28 • 26D • HD16

Chema continues to worry about her husband. Barke is upset that Mchuma was not killed. Amanzi gets admitted to the hospital. 

Episode 29
M1 K29 • 27D • HD16

No one knows what happened to Amanzi. Fahad is upset about the attention Munir is receiving.

Episode 30
M1 K30 • 26D • HD16

Chema is sad about Amanzi's condition. Ajuae questions the person responsible for getting Sikujua pregnant.

Episode 31
M1 K31 • 27D • HD16

A quarrel arises between Mpungwe and Mchuma. Amanzi wakes up at the hospital. Barke goes crazy.

Episode 32
M1 K32 • 27D • HD16

Barke is still harassing Ajuae. Mpungwe wants to know what promise Mchuma made about Sikujua's pregnancy.

Episode 33
M1 K33 • 26D • HD16

Barke is upset by the money withdrawn from the bank. Munir's happy that Karen is helping Ajuae. Sikujua's pregnancy stresses Mchuma.

Episode 34
M1 K34 • 26D • HD16

Sikujua is in a deep sarrow. Balui's condition gets worse. Amanzi regains consciousness.

Episode 35
M1 K35 • 26D • HD16

Zingizi kicks Chema off his bedroom. Kawia rejects his name. Mchuma breaks up with Sikujua.

Episode 36
M1 K36 • 27D • HD16

Ajuae is being oppressed more and more. Munir's angry with his mom's mistreatment. Razia goes crazy about the pregnancy. 

Episode 37
M1 K37 • 27D • HD16

Munir plans to take Karen out. Ajuae convinces Mpungwe of his love for Balui, and Fahadi continues to harass Mchuma.

Episode 38
M1 K38 • 27D • HD16

Chema is distressed over hospital expenses. Love continues to torture Mchuma.

Episode 39
M1 K39 • 27D • HD16

Wafanyakazi wagoma tena Temboni,Fahadi apunguza Posho ya siku,Wafanyakazi wamlilia Munir.

Episode 40
M1 K40 • 26D • HD16

Chema amtaja muhusika wa Mimba ya Sikujua,Urafiki wa karen na Balui waongezeka.

Episode 41
M1 K41 • 27D • HD16

Chema amtaja muhusika wa Mimba ya Sikujua,Urafiki wa karen na Balui waongezeka.

Episode 42
M1 K42 • 26D • HD16

Gumbo apokea taarifa mbaya kuhusu Mtupe,Barke aenda kumtembelea Chema,Barke ahaidi kumpatia Chema msaada.

Episode 43
M1 K43 • 27D • HD16

Karen amshauri Balui kutoka nje,Sikujua atamani kuitoa mimba,Barke na Zingizi waendelea na mipango ya kumtafuta Mtupe.

Episode 44
M1 K44 • 27D • HD16

Mtupe amuahidi baba yake kupata utajiri,Munir ampa ushauri mzuri Karen,Mzee habibu achukizwa na tabia ya Barke.

Episode 45
M1 K45 • 26D • HD16

Mama Gumbo amkemea Gumbo kwa Tabia zake mbaya,Bilo asingizia wizi,Chema apata hisia mbaya.

Episode 46
M1 K46 • 26D • HD16

Kizele ahisi Razia ni mjamzito,Munir amthibitishia Mama karen upendo wake kwa mwane,Baba karen aongea na mwanae.

Episode 47
M1 K47 • 25D • HD16

Mchuma achukizwa na ujio wa Sikujua,Chema apokea habari mbaya kuhusu watoto wake,Chema achukizwa na Mchuma.

Episode 48
M1 K48 • 27D • HD16

Mchuma apanga kuondoka kwa Chema,Barke apanga kukutana na Mtupe,Fahadi achukizwa na tabia za Razia.

Episode 49
M1 K49 • 26D • HD16

Balui causes chaos at Mzee Habibu's home. Bilo's recovering. Mzee Habibu is surprised by Razia's pregnancy.

Episode 50
M1 K50 • 26D • HD16

Mzee Habibu amuuliza swali gumu Babu Ali, Hali ya Amanzi bado ni Changamoto,Barke akutana na Mtupe.

Episode 51
M1 K51 • 26D • HD16

Zingizi apata hofu mipango yake na Barke,Kombo aharibu michoro yake,Fahadi akasilishwa na mke wake.

Episode 52
M1 K52 • 27D • HD16

Kawia asababisha ajali kwa Mudrick,Gumbo aipata kofia ya Mtupe machimboni,Zingizi ampa ushauri Barke.

Episode 53
M1 K53 • 25D • HD16

Razia apata mawazo mazito,Barke na Mzee habibu wajadili kuhusu Kawia,Ajuae achukizwa na kitendo alichofanya Kawia.

Episode 54
M1 K54 • 26D • HD16

Karen na Balui watoka nje,Ajuae ampiga marufuku Kawia kwenda nyumbani kwa Mzee Habibu.

Episode 55
M1 K55 • 26D • HD16

Barke atoa adhabu kali kwa Balui,Karen asikitishwa kuwa sababu ya matatizo ya Balui,Mzee Habibu achukizwa na kitendo alichofanya Balui.

Episode 56
M1 K56 • 26D • HD16

Chema asimamishwa kazi nymbani kwa Mzee Habibu,Balui akimbizwa hospitali,Baadhi ya wafanyakazi wafukuzwa kazi Timboni.

Episode 57
M1 K57 • 26D • HD16

Barke azua taharuki hospitalini,Kizele azidisha wivu kwa Babu Ali,Mzee Kibindo amlilia mtoto wake.

Episode 58
M1 K58 • 25D • HD16

Makalanje aendeleza tiba kwa Mtupe,Mpungwe aomba kwenda kumuona Balui hospitali.

Episode 59
M1 K59 • 27D • HD16

Balui na Mpungwe wakutana Hospitali,Balui amuomba msamaha Kizele,Ajali mbaya yatoke Temboni.

Episode 60
M1 K60 • 26D • HD16

Tamia apata wasiwasi uwepo wa Mtupe nyumbani,Munir amtia moyo Balui,Ajuae asikitishwa na tabia za familia ya Mzee Habibu.

Episode 61
M1 K61 • 26D • HD16

Kombo aendelea kuchora michoro,Mpungwe atamani kujua hali ya Balui.Mtupe anapata fahamu.

Episode 62
M1 K62 • 27D • HD16

Munir asimamia msimamo wake wa kutatua matatizo ya Temboni, Ajuae akasilishwa na Mpungwe kushiriki Mgomo.

Episode 63
M1 K63 • 28D • HD16

Fahad amlaumu Mzee Habibu kuhusu Munir, Zingizi amtembelea Ajuae,Mzee habibu akasilishwa na Tabia za wanae.

Episode 64
M1 K64 • 26D • HD16

Zingizi ahoji kuhusu mimba ya Balui,Mzozo waibuka Stumai na Kizele.

Episode 65
M1 K65 • 26D • HD16

A cold-hearted mother puts everything on the line to stop her son from getting married. Meanwhile, Munir and Karen do whatever it takes to be together, but a war erupts among the couple, family members, and even the housemaids.

Episode 66
M1 K66 • 26D • HD16

Wafanya kazi wagoma Timboni,Barke asikitishwa na kinachoendelea Machimboni,Karen agombana na Mama yake.

Episode 67
M1 K67 • 27D • HD16

Bilo ampa moyo Kombo,Zingizi amkumbusha Barke kuhusu utabili wake,Mudrik anapotea.

Episode 68
M1 K68 • 27D • HD16

Karen ahoji alipokuwa Munir,Tuse amlilia mwanae,Taarifa za Balui kupata ajali na Mudrik zafika nyumbani.

Episode 69
M1 K69 • 28D • HD16

Balui Azua taharuki nyumbani kwa Mzee habibu,Hali ya Bilo yaendelea kuimalika,Mzee Habibu ashangazwa na mimba ya Razia.

Episode 70
M1 K70 • 25D • HD16

Ajuae ahoji mahusiano ya Kawia na Razia,Tamia azidi kunyanyaswa na Makalanje,Mpungwe na Mchuma waingia hatarini.

Episode 71
M1 K71 • 26D • HD16

Vurugu zaendelea Machimboni,Ajuae amuhoji Kawia juu ya Razia,Razia amlilia Munir kuhusu hali ya Mudrick.

Episode 72
M1 K72 • 25D • HD16

Ajuae ataka kwenda kituo cha polisi kumfata mwanae ,Bilo aumizwa na kilichomtokea Mchuma,Mchuma amtia moyo Mpungwe.

Episode 73
M1 K73 • 26D • HD16

Ajuae wants to go to the police station for his son. Bilo's hurt for what has happened to Mchuma. Mchuma encourages Mpungwe.

Episode 74
M1 K74 • 26D • HD16

Daktari ashangazwa kumuaona Razia akiwa pekeake Hospitali,Balui alaani Razia kumfundisha maneno mabaya Mudrick,Mudrick ashtuka kumuona kawia.

Episode 75
M1 K75 • 26D • HD16

Balui awakuta Razia na Kawia hospitali,Balii apata aarifa kukamatwa kwa Mpungwe,Mudrick atoa siri ya kawia kufika hospitali.

Episode 76
M1 K76 • 26D • HD16

Watoto wa Ajuae walaumu mama yao kuitetea familia ya Mzee Habibu,Balui aombwa kuto toka nje,Chema asisitiza Kombo kujifunza mambo ya Gereji.

Episode 77
M1 K77 • 27D • HD16

Kombo aumia akiwa Gereji,Kizele apandishwa cheo,Makalanje ahoji alipo kuwepo Mtupe,Bilo aendelea kupambania ndoto ya Kombo.

Episode 78
M1 K78 • 26D • HD16

Umuhimu wa ajuae kwwnye nyumba ya mzee Habibu waonekana,Barke na Mzee Habibu wazozana,Fahad asema Mudrick sio mwanae.

Episode 79
M1 K79 • 26D • HD16

Balui na Mpungwe wakutana Hospitali,Balui amuomba msamaha Kizele,Ajali mbaya yatoke Temboni.

Episode 80
M1 K80 • 26D • HD16

Familia ya Ajuae yakataa mama yao kurudi kwa Mzee habibu,Fahadi atakakujua kuhusu Mudrick,Mapenzi yazidi kuongezeka kati ya Mtupe na Tamia.

Episode 81
M1 K81 • 26D • HD16

A cold-hearted mother puts everything on the line to stop her son from getting married. Meanwhile, Munir and Karen do whatever it takes to be together, but a war erupts among the couple, family members, and even the housemaids.

Episode 82
M1 K82 • 26D • HD16

Stumai asukitishwa na maisha ya dada yake Tuse,Ajuae amhoji Kawia juu ya bangili yake,Sikujua ataka kujua mahusiano kati ya Balui na Mpungwe.

Episode 83
M1 K83 • 25D • HD16

Stumai asukitishwa na maisha ya dada yake Tuse,Ajuae amhoji Kawia juu ya bangili yake,Sikujua ataka kujua mahusiano kati ya Balui na Mpungwe.

Episode 84
M1 K84 • 27D • HD16

A cold-hearted mother puts everything on the line to stop her son from getting married. Meanwhile, Munir and Karen do whatever it takes to be together, but a war erupts among the couple, family members, and even the housemaids.

Episode 85
M1 K85 • 26D • HD16

Sada aendelea na mpango wa kumuua Karen,Barke asikitishwa kumpoteza paka wake.

Episode 86
M1 K86 • 27D • HD16

Mudrick atamani kurudi hospitali,Babu Ali ayakumbuka maisha yake ya zamani na Bi ajuae,Mama Gumbo aendelea kumuonya mwanae.

Episode 87
M1 K87 • 26D • HD16

Umuhimu wa Ajuae wazidi kuongezeka nyumbani kwa Mzee Habibu,Kizele amuomba msamaha mzee Habibu,Chema aendeleza huduma kwa Karen.

Episode 88
M1 K88 • 26D • HD16

Babu Ali aamua kusafiri,Mzee habibu ampa hongera Sikujua,Stumai atamani kuto wakosa Chema na Ajuae kazini.

Episode 89
M1 K89 • 27D • HD16

Mzee habibu aingia kwenye tamaa ya kimapenzi na Sada,Kizele adai talaka.

Episode 90
M1 K90 • 27D • HD16

Juhudi za kuokoa Machimbo bado zinaendelea,Stumai amlalamikia Kizele,Barke akataa kula keki ya Mudrick.

Episode 91
M1 K91 • 27D • HD16

Kawia atamani kumtakia heli ya sikukuu ya kuzaliwa mwanae Mudrick,Maisha ya Razia yaendelea kuwa magumu nyumbani kwa Mzee Habibu.

Episode 92
M1 K92 • 26D • HD16

Mtupe na Tamia waendelea kuoneshana mapenzi,Karen apata tatizo la Ini,Lisa amlaumu Munir,Fahad amfukuza Razia.

Episode 93
M1 K93 • 26D • HD16

Ajuae anataka kwenda plisi kwa ajili ya kilichomkuta mtoto wake, Bilo anaumizwa na kilichotokea kwa Mchuma.

Episode 94
M1 K94 • 27D • HD16

Makalanje awataka vijana kuhakikisha Mtupe atoki ndani ya kijiji,Sada apata mashaka juu ya Barke na Zingizi.Mtupe afanikiwa Kutoroka.

Episode 95
M1 K95 • 27D • HD16

Tamia aonesha dharau kwa Mzee Makalanja,Kawia ahaidi kumlea mwanae Mudrick,Ugomvi waibuka kati ya Zingizi na Balui.

Episode 96
M1 K96 • 27D • HD16

Razia aendelea kumtesa Fahadi,Maisha ya Mudrick yawa magumu nyumbani kwa Ajuae.

Episode 97
M1 K97 • 25D • HD16

Kombo aumia akiwa Gereji,Kizele apandishwa cheo,Makalanje ahoji alipo kuwepo Mtupe,Bilo aendelea kupambania ndoto ya Kombo.

Episode 98
M1 K98 • 26D • HD16

Fahadi amlilia Balui kuhisiana na matatizo yake,Mchuma amuhimiza Bilo kupambana na maisha,Sikujua alizwa kuhusu Razia.

Episode 99
M1 K99 • 26D • HD16

Karen ahamishwa Hospital,Mchuma na Bilo watafuta kazi,Munir aendelea kumlilia Karen.

Episode 100
M1 K100 • 27D • HD16

Barke asikitishwa na Uharibifu wa Machimbo,Mudrick apotea nyumbani kwa Ajuae,Umuhimu wa Babu Ali waanza kuonekana.

Episode 101
M1 K101 • 25D • HD16

Barke asikitishwa na Uharibifu wa Machimbo,Mudrick apotea nyumbani kwa Ajuae,Umuhimu wa Babu Ali waanza kuonekana.

Episode 102
M1 K102 • 27D • HD16

Utata waendelea ni wapi alipo Mudrick,Bilo achukizwa na mama yake kuondoka nyumbani,Fahad azidi kuleta taharuki nyumbani kwao.

Episode 103
M1 K103 • 27D • HD16

Sikujua aishtumu familia ya Mzee habibu kuwa wana Roho mbaya,Ugomvi watokea kati ya Mzee habibu na Fahad,Munir amkataa Sada.

Episode 104
M1 K104 • 27D • HD16

Sikujua asisitizwa kuwa makini na familia ya Mzee Habibu,Mudrick ataka arudishwe kwa Barke,Balui amtembelea Ajuae.

Onyesha Zaidi
  • Karen na Balui watoka nje,Ajuae ampiga marufuku Kawia kwenda nyumbani kwa Mzee Habibu.
  • WaigizajiSuseys Shariff, Abdulrahman Bafadhali, Karen Gardner
  • Timu Salum Majagi (Muongozaji)
  • AinaDrama, Family
  • Misimu1
  • StudioShowmax

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

KUANZIA
TSh 19,800