Chagua mpango wako
- Kwa mashabiki wa mpira wa soka
Premier League
Tazama mechi zote za Premier League na PSL*
Dondoo na maudhui ya kufikiwa na kila mtu.
Tazama katika ubora wa FHD au chagua ubora unaotaka.*
Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.
Kuna tofauti gani kati ya usajili wa Kila Mwezi na ule wa Mara Moja?
- Malipo ya kila mwezi ni mpango wa malipo unaojirudia kila mwezi hadi utakapoamua kuondoa. Ni chaguo bora kwa mtu anayependelea urahisi na anayetaka kudhibiti malipo yake ya mwezi hadi mwezi.
Malipo ya mara moja yanakuwezesha kulipa mapema kwa kipindi maalum kilichochaguliwa. Hii ni chaguo bora ikiwa hutaki makato ya kila mwezi. Je, kuna tofauti gani kati ya mpango wa Vifaa Vyote na Simu Pekee?
- Vifurushi vya Vifaa Vyote: Inakuwezesha kutazama Showmax kwenye kifaa chochote kilichoidhinishwa, ikiwemo televisheni, kompyuta, Tablet, na simu janja. Unaweza kusajili vifaa vingi na kutazama hadi vifaa viwili kwa wakati mmoja. Pia, kutazama kwenye skrini nyingine kunaruhusiwa, isipokuwa kwa maudhui ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Vifurushi vya Simu Pekee: Inakuwezesha kutazama Showmax kwenye kifaa kimoja cha simu kilichosajiliwa (simu janja au Tablet na kuokoa fedha kutokana na bei yake nafuu. Huwezi kutazama kwenye kompyuta au televisheni, na kuangalia kwenye skrini nyingine hakuruhusiwi. Naweza kutazama Showmax kwenye vifaa vingapi?
- Idadi ya vifaa unavyoweza kutazama kwa wakati mmoja inategemea kifurushi chako cha Showmax:
Entertainment (Vifaa Vyote): Hadi vifaa 2 kwa wakati mmoja.
Entertainment Mobile, Premier League, Entertainment Mobile + PL: Kifaa 1 pekee kwa wakati mmoja (simu janja au kompyuta kibao (Tableti).
Entertainment All Devices+ PL: Hadi vifaa 2 kwa maudhui ya Burudani na kifaa 1 kwa maudhui ya Ligi Kuu ya Uingereza(simu janja au kompyuta kibao (Tableti).