Kituo cha Usaidizi

Nini kitavifanyikia vipakuliwa vyangu nikiondoa programu ya Showmax?


Ukiondoa programu yako ya Showmax, maudhui yote yaliyopakuliwa yatafutwa kwenye kifaa chako utakapoondoa programu ya Showmax.


Je, maoni haya yamekufaa?