Iwe unatiririsha mtandaoni au unatumia programu ya Showmax, utaratibu wa kuwasha manukuu ni sawa.
Unaweza kuwasha manukuu unapocheza kipindi cha televisheni au filamu katika hatua tatu rahisi:
- Anza kucheza yaliyomo.
- Ndani ya kicheza video, gusa aikoni ya kiputo cha usemi chini au juu ya skrini.
- Chagua lugha unayopendelea itumike kwenye manukuu.