VIFURUSHI VILIVYO PANGWA

Entertainment Vifaa vya Mkononi

Tazama Vipindi Halisi vya Showmax (Showmax Originals), tamthilia maarufu za nchini na kimataifa, filamu na vipindi vya watoto.


Tamthilia na Filamu | Simu janja | 1 Stream | Hairuhusiwi kurusha kwenye skrini zaidi ya moja

  • Aina ya malipo yako

    Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.

    Malipo ya kila mwezi ni mpango wa malipo unaojirudia kila mwezi hadi utakapoamua kuondoa. Ni chaguo bora kwa mtu anayependelea urahisi na anayetaka kudhibiti malipo yake ya mwezi hadi mwezi.

    Malipo ya mara moja yanakuwezesha kulipa mapema kwa kipindi maalum kilichochaguliwa. Hii ni chaguo bora ikiwa hutaki makato ya kila mwezi.
    Vifurushi vya Vifaa Vyote: Inakuwezesha kutazama Showmax kwenye kifaa chochote kilichoidhinishwa, ikiwemo televisheni, kompyuta, Tablet, na simu janja. Unaweza kusajili vifaa vingi na kutazama hadi vifaa viwili kwa wakati mmoja. Pia, kutazama kwenye skrini nyingine kunaruhusiwa, isipokuwa kwa maudhui ya Ligi Kuu ya Uingereza.

    Vifurushi vya Simu Pekee: Inakuwezesha kutazama Showmax kwenye kifaa kimoja cha simu kilichosajiliwa (simu janja au Tablet na kuokoa fedha kutokana na bei yake nafuu. Huwezi kutazama kwenye kompyuta au televisheni, na kuangalia kwenye skrini nyingine hakuruhusiwi.
    Idadi ya vifaa unavyoweza kutazama kwa wakati mmoja inategemea kifurushi chako cha Showmax:

    Entertainment (Vifaa Vyote): Hadi vifaa 2 kwa wakati mmoja.

    Entertainment Mobile, Premier League, Entertainment Mobile + PL: Kifaa 1 pekee kwa wakati mmoja (simu janja au kompyuta kibao (Tableti).

    Entertainment All Devices+ PL: Hadi vifaa 2 kwa maudhui ya Burudani na kifaa 1 kwa maudhui ya Ligi Kuu ya Uingereza(simu janja au kompyuta kibao (Tableti).